Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2023 kukagua Miradi 99 yenye thamani ya Shilingi Trilioni 4.4 Pwani

Mhe Abubakar Kunenge Mkuu wa Mkoa wa Pwani Ameeleza hayo akiwa Halmashauri ya Chalinze eneo la Ubena zomozi tarehe 15 Mei,2023 wakati akipokea Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2023 kutoka kwa Mkuu wa Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe Fatma Mwasa. Kunenge ameeleza Mwenge ukiwa Mkoani hapo utakimbizwa katika Wilaya Saba na Halmshauri 9 … Continue reading Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2023 kukagua Miradi 99 yenye thamani ya Shilingi Trilioni 4.4 Pwani