Mix

Mwenge wakabidhiwa kwenye mkoa wa Kaskazini Pemba

on

Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba visiwani Zanzibar Mattar Zahoro Masoud katika Muendelezo wa mbio za Mwenge amemkabidhi Mwenge Mkuu wa mkoa wa Kaskazini Pemba Salama Mbaruk Khatibu.

Zoezi hilo limefanyika ni baada ya kuhitimishwa kwa mbio za Mwenge wa uhuru katika wilaya za Mkoani na Chake.

Soma na hizi

Tupia Comments