Ad

Top Stories

Mwenyekiti atishia kwenda kwa Rais mbele ya Waziri Lukuvi (+video)

on

March 03, Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo Makazi William Lukuvi amekutana na Watumishi wa Jiji la Mwanza idara ya ardhi na wengine, Waziri Lukuvi akiendelea na kikao nje kukawa na Wananchi wenye migogoro wakiwa na mafaili yao wakimgoja.

Soma na hizi

Tupia Comments