Top Stories

Mwenyekiti aweka wazi sababu za tangazo la kuzuia watu wawili wasiuziwe pombe (+video)

on

Mwenyekiti wa Mamlaka ya Mji mdogo wa Iwawa Wilaya ya Makete Mkoa wa Njombe, imepiga marufuku wa wananchi wawili wa eneo hilo kutouziwa pombe sehemu yoyote katika mamlaka hiyo kwa muda usiojulikana.

Hii inatokana na wananchi hao kufanya vitendo vya ovyo pamoja na kuhatarisha usalama katika eneo hilo baada ya kunywa pombe.

BASHUNGWA ATANGAZA MAREKEBISHO YA SHERIA YA POMBE YA KIENYEJI “KUNA SHERIA KANDAMIZI

Soma na hizi

Tupia Comments