Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Mwenyekiti wa UVCCM Taifa ashiriki maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani
Share
Notification Show More
Latest News
Jorginho aondoka Chelsea na kusaini Arsenal
February 1, 2023
Rais Samia ashtukia mchezo mchafu hela za Plea Bargain
January 31, 2023
Rais Samia ainyooshea kidole Polisi, Magereza
January 31, 2023
Waliokutwa na meno ya tembo wahukumiwa miaka 20 jela (+video)
January 31, 2023
Maji ya ajabu yanayotoka bombani Johannesburg
January 31, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Mwenyekiti wa UVCCM Taifa ashiriki maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani
Top Stories

Mwenyekiti wa UVCCM Taifa ashiriki maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani

December 1, 2022
Share
1 Min Read
SHARE

Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Cde. Mohamed Ali Kawaida ashiriki maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani yanayofanyika kitaifa Mkoani Lindi; akiambatanaa na Makamu Mwenyekiti UVCCM Taifa Cde. Rehema Sombi  pamoja na Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa Ndg Kenani Kihongosi.

Na Wajumbe wa Baraza Kuu UVCCM Taifa- Cde Shamira Mshangama na Cde Gloria Katalambula.

Hili ni tukio la kwanza Kitaifa la Mwneyekiti UVCCM Taifa na Makamu Mwenyekiti UVCCM Taifa- wameanza kazi rasmi- tunawatakia kila la Kheri katika utendaji wao.

Tunawatakia Vijana wote watakaoshiriki kila la Kheri Mkoani Lindi.

Aidha Mwenyekiti wa UVCCM akizungumza na millardayo.com alisema..” Vijana ni deni kwa taifa hivyo mimi kama Mwenyekiti tunaungana na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan hapa Lindi na viongozi mbalimbali katika kuadhimisha siku hii ya Ukimwi Duniani Nawaomba kijana wa kitanzania ni muhimu kupima afya yako kujitambua tujenge taifa letu na kuliletea maendeleo”- Ali Kawaida

You Might Also Like

Rais Samia ashtukia mchezo mchafu hela za Plea Bargain

Rais Samia ainyooshea kidole Polisi, Magereza

Waliokutwa na meno ya tembo wahukumiwa miaka 20 jela (+video)

Maji ya ajabu yanayotoka bombani Johannesburg

Biden akataa kutuma ndege za kivita Ukraine

Edwin TZA December 1, 2022
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Matokeo ya Darasa la Saba, watahiniwa 540 Matokeo yazuiwa
Next Article Matokeo ya darasa la Saba, Iptisam apiga ufaulu wa ‘A’
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Jorginho aondoka Chelsea na kusaini Arsenal
Sports February 1, 2023
Rais Samia ashtukia mchezo mchafu hela za Plea Bargain
Top Stories January 31, 2023
Rais Samia ainyooshea kidole Polisi, Magereza
Top Stories January 31, 2023
Waliokutwa na meno ya tembo wahukumiwa miaka 20 jela (+video)
Top Stories January 31, 2023

You Might also Like

Top Stories

Rais Samia ashtukia mchezo mchafu hela za Plea Bargain

January 31, 2023
Top Stories

Rais Samia ainyooshea kidole Polisi, Magereza

January 31, 2023
Top Stories

Maji ya ajabu yanayotoka bombani Johannesburg

January 31, 2023
Top Stories

Biden akataa kutuma ndege za kivita Ukraine

January 31, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?