Top Stories

WATU WASIOJULIKANA: “Dakika zao zinahesabika” – Mwigulu

on

Baada ya kuibuka matukio mbalimbali ya uhalifu nchini na baadhi ya watu kushambuliwa kwa risasi akiwemo Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu na taarifa zikidai wahalifu hao hawajulikani, Waziri wa Mambo ya Ndani Mwigulu Nchemba amesema watu hao dakika zao zinahesabika.

Waziri Nchemba akiwa Singida amesema kuwa Serikali imejipanga kuhakikisha ilinda usalama wa Wananchi na kuwa wahalifu wanaotekeleza matukio hayo wameshindwa tayari.

VURUGU ARUSHA: UVCCM waelezea kuanzia mwanzo

Soma na hizi

Tupia Comments