AyoTV

VIDEO: Waziri Mwigulu alivyoingilia kati ishu ya waliosusia miili ya ndugu zao

on

Waziri wa mambo ya ndani ya nchi, Mwigulu Nchemba ameutatua mgogoro uliozuka kwa karibu siku saba kwa watu wa jamii ya Wafugaji baada ya kususia miili ya wenzao waliouawa kwa kupigwa risasi na Askari wa Polisi Bagamoyo Pwani.

Askari waliohusika na tukio hilo wote wamekamatwa na uchunguzi unaendelea huku Wafugaji wakiwa wamekubali kwenda kuzika ndugu zao.

VIDEO: Waziri Mwigulu kwenye eneo walikouawa Watu watatu Kibiti, Bonyeza play hapa chini kutazama

Soma na hizi

Tupia Comments