Habari za Mastaa

Mwigizaji Chadwick afariki dunia kwa kansa

on

Mwigizaji Chadwick Boseman ambae ameng’aa sana kwenye movie kama Black Panther na 21 Bridges amefariki dunia akiwa na miaka 43 ambapo kansa imetajwa kuwa chanzo.

Chadwick ambaye amekua akiugua kansa toka mwaka 2016 amefia nyumbani kwake akiwa na Mke wake pembeni pamoja na familia.

Mwigizaji huyu alianza kung’aa mwaka 2013 baada ya kucheza kwenye movie ya 42 na inaripotiwa kwamba amekua akitibiwa ugonjwa huo wa kansa kuanzia anaigiza movie za Marshall mpaka Da 5 Bloods ambayo ni ya mwaka 2020, hapa chini nimekuwekea Trailer ya moja ya movie alizoigiza 21 Bridges.

Soma na hizi

Tupia Comments