Habari za Mastaa

Mwigizaji Esha Buheti apata ajali ya Gari jioni hii (+video)

on

Mwigizaji maarufu wa Bongo Movie Esha Buheti gari yake imeharibika sana baada ya kupata ajali wakati akiwa safarini, ajali iliyosababishwa na ng’ombe aliyekatiza barabarani.

Esha ameshare video na picha kwenye ukurasa wake wa Instagram na kuelezea ilivyokuwa mpaka ajali ikatokea licha ya kuwa wote waliokuwa Kwenye gari hilo kutoka wazima.

 “Asanteni kwa Message na simu nyingi sana ila kwa sasa Kichwa kinauma sana ni kweli tumepata ajali ila tumetoka salama Alhamdulillah” Ameandika Esha Buheti kupitia Instagram page yake

Bonyeza Play hapa chini kuona VIDEO

VIDEO: PIERE kawafungukia wanaosema January ngumu.

Soma na hizi

Tupia Comments