Habari za Mastaa

Mwigizaji Kajala na mwanae Paula kuja na reality Show

on

NI Mwigizaji Kajala Masanja ambae time hii kupitia kukurasa wake wa inastagram amewajuza mashabiki wake ujio wa reality show yake ambayo ameipa jina la ‘Mother &  Daughter  like twins’, katika reality show hiyo ataonekana pia binti yake Paula.

Kipindi hicho kipya ambacho kitakuwa kikionesha maisha halisi ya Kajala na Mwanae Paula lakini bado hakijawekwa wazi mahali kitakaporushwa hewani, endelea kukaa nasi Ayo TV & millardayo.com tutaendelea kukujuza.

 

Soma na hizi

Tupia Comments