Habari za Mastaa

Mwigizaji wa Kenya amefunguka alivyotoka kimapenzi na Alikiba na kumchora Tattoo

on

Mwigizaji kutoka Kenya Bridget amefunguka kuwa aliwahi kuwa na maahusiano ya kimapenzi na msanii wa bongo fleva kutoka Tanzania Alikiba japo waliachana baada ya kushindwa kwenda sawa na kudai kuwa yeye ana mambo ya haraka zaidi huku Alikiba akiwa ni mtaratibu sana na anamambo ya kiswahili.

Mwigizaji huyo amehojiwa kupitia radio Jambo ya huko Kenya na alipoulizwa kitu anacho kikumbuka kutoka kwa Alikiba, Bridget ameeleza kuwa “Alikiba alikuwa Romantic sana na ni mtu mzuri sana” na kuhusu Tattoo aliyochora mkononi akiandika King Kiba alijibu kwa kusema ”Nilikuwa nampenda sana ili ana mambo ya kiswahili sana”.

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama VIDEO ya mwigizaji huyo akizungumza.

VIDEO: MPENZI MPYA WA MSANII KUTOKA KINGS MUSIC

Soma na hizi

Tupia Comments