Habari za Mastaa

Mwigizaji Wolper aonesha sura ya mtoto wake kwa mara ya kwanza (video+)

on

Mwigizaji Jacqueline Wolper ameionesha hadharani sura ya Mtoto wake na hapo hapo kumtangaza Balozi wa nguo na bidhaa za Watoto kwenye duka maarufu la Sweet Lorah.

Wolper ambaye pia ametaja jina kamili la Mtoto wake kuwa ni Paschal, yeye na Baba Mtoto wake wamesema Sababu ya kumpa jina hilo ni kwakua amezaliwa Pasaka.

Mtoto wa Wolper amepewa Ubalozi wa Duka la Lorah linalojihusisha na uuzaji wa vitu vya Watoto kama nguo, viatu na vitu mbalimbali.

WOLPER AWAJIBU “ZILE NGUO ZIPO KAMA 7, SIAJRUDIA NGUO NA SIJAWAHI KUVALISHWA PETE NIKAKATALIWA”

Soma na hizi

Tupia Comments