Mix

#BREAKING: Maamuzi ya JPM kwa viongozi walioomba kuacha kazi, yupo RC Meck Sadick

on

Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu Dar es salaam imeeleza kuwa Rais Magufuli ameridhia maombi ya kuacha kazi kwa Said Meck Sadick aliyekuwa RC Kilimanjaro, Aloysius Kabulizi na Upendo Hillary Msuya waliokuwa Majaji wa Mahakama Kuu.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo May 16, 2017 na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi imesema Rais Magufuli ameridhia maombi hayo kuanzia May 15, 2017.

VIDEO: Lipo hapa agizo la Waziri Mwigulu Nchemba kwa watakaowapa kimba wanafunzi. Bonyeza play kutazama.

Soma na hizi

Tupia Comments