AyoTV

VIDEO: ‘Mkijiridhisha mtu hana makosa isiwe tabu kumuachia hata kumuomba radhi’-Mwigulu

on

Leo March 21 2017 Waziri wa mambo ya ndani, Mwigulu Nchemba wakati akifungua Bodi mpya ya PAROLI chini ya mwenyekiti wake Augustino Mrema Ukonga jiji Dar es salaam amevitaka vyombo vya usalama kukamata watuhumiwa lakini wakijiridhisha kuwa hawana makosa wasione tabu kuwaachia ikibidi kuwaomba msamaha. Bonyeza play hapa chini kutazama

VIDEO: Waziri Mwigulu kwenye eneo walikouwawa Watu watatu Kibiti, Bonyeza play hapa chini kutazama

Soma na hizi

Tupia Comments