Top Stories

Mwigulu ajibu wanaosema mikopo “Hujakopa wewe ni Serikali” (video+)

on

Ni January 4, 2022 ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amepokea taarifa ya utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo kwa Ustawi wa Taifa na Mapambano dhidi ya UVIKO – 19  Ikulu, Jijini Dar es Salaam.
Hapa nimekusogezea ufahamu kile alichozungumza Waziri wa Fedha, Mwigulu Njemba.

RAIS SAMIA ASIMULIA MWIGULU ALIVYOMPIGIA SIMU USIKU “NIMELALA INAITA, NIKASEMA NINI?”

Soma na hizi

Tupia Comments