Top Stories

Mwijaku afunguka baada ya Rais Samia kupiga simu na kutaja jina lake (video+)

on

Ni Mtangazaji na Mwana mitandao maarufu kama Mwijaku ambae January 27, 2022 aliingia katika vichwa vya habari baada ya Rais Samia kupigia simu katika hafla iliyofanyika kwenye Shule ya Sekondari Benjamin kisha kumtaja Mwijaku.

Sasa Ayo TV & Millardayo.com imefanikiwa kumpata Mwijaku unaweza ukabonyeza play kufahamu kile alichozungumza

Soma na hizi

Tupia Comments