Top Stories

Mwijaku ataka kumrithi Ndugai, afunguka “Niko tayari kumsaidia Mama, Utani pembeni” (video+)

on

Mtangazaji wa Clouds FM kipindi cha LEO TENA,  Mwijaku ni miongoni mwa Watanzania waliojitokeza leo kwenye Ofisi za CCM Lumumba Dar es salaam kuchukua fomu ya kugombea U-spika wa Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania kujaza nafasi iliyoachwa na Job Nduga.

MWIJAKU ATINGA NA MSAFARA OFISI ZA CCM, ATAKA KUMRITHI JOB NDUGAI “USPIKA”

Soma na hizi

Tupia Comments