Habari za Mastaa

Mwijaku atinga na msafara ofisi za CCM, ataka kumrithi Ndugai “Uspika” (video+)

on

Mtangazaji wa Clouds FM kipindi cha LEO TENA Burton Mwemba maarufu Mwijaku ni miongoni mwa Watanzania waliojitokeza leo kwenye Ofisi za CCM Lumumba Dar es salaam kuchukua fomu ya kugombea U-spika wa Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania kujaza nafasi iliyoachwa na Job Nduga.

 

CHAMA AREJEA WEKUNDU MSIMBAZI, SIMBA SC WAMUANDIKIA HAYA

Soma na hizi

Tupia Comments