Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa ameambatana na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson na Waombolezaji mbalimbali, wamejitokeza kuupokea Mwili aliyekuwa Mbunge wa Viti maalum (CCM) Marehemu Irene Ndyamkama katika Uwanja wa ndege Dodoma leo Aprili 27, 202
Mwili wa aliyekuwa Mbunge viti maalum Irene umewasili Dodoma (video+)

Leave a comment
Leave a comment