Top Stories

Mwili wa Askari aliyeuawa na Hamza kwenye majibizano ya Risasi azikwa (video+)

on

Mwili wa kijana anayefahamika kwa jina la Miraji ambaye alifariki kwenye mapambano ya risasi jijini Dar es Salaam kijana anayefahamika kwa jina la Hamza umezikwa wilayani Karatu mkoani Arusha ambapo kaimu RPC Mkoa wa Arusha Mary Kipesha huku akitoa salamu za Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan.

SINTOFAHAMU MWILI WA HAMZA KUZIKWA USIKU, SHEIKH KATIMBA ABAINISHA UKWELI “MAMLAKA, UKIFA TU”

MANARA KAFUNGUKA BAADA YA YANGA SC KUFUNGWA “KUFUNGWA SIO AJABU”

Soma na hizi

Tupia Comments