Mwili wa binti Marykrista uliozikwa kata ya Sokoni 2 Wilayani Arumeru mkoani Arusha July 27 2021 majira ya Usiku kutokana na kuwepo kwa Mgogoro wa kifamilia baada ya kugombaniwa na baba wawili huenda ukafukuliwa.
Upendo Joseph ambaye ni mdogo wa Godbless Mollel ambaye inadaiwa kuwa ni baba wa mtoto huyo amesema mwili huo utafukuliwa baada ya upande wa Godbless Mollel kufungua kesi Mahakamani yakutaka mwili huo ufukuliwe baada ya kuzikwa kwa nguvu July 27 licha ya kuwa na zuio Mahakamani.
DEREVA NA MUUGUZI WA ‘AMBULANCE’WAFARIKI WAKIMPELEKA MGONJWA HOSPITALI
TAZAMA MASHABIKI WA BARCELONA WALIVYOISIMAMISHA GARI LA MESSI, SHANGWE ZAIBUKA UFARANSA “PSG”