Michezo

Mwili wa Kobe Bryant kuagwa February 24

By

on

Ikiwa wiki mbili sasa zimepita baada kutokea kwa ajali ya Helikopta huko Califonia Marekani na kusababisha kifo cha Kobe Bryant ambae ni mchezaji wa zamani wa timu ya mpira wa kikapu ya Lakers.

Tarehe 24 February mwaka huu zitatolewa heshima za mwisho za kuuaga mwili wa Mchezaji huyo kwenye ukumbi wa STAPLES CENTER mjini Los Angeles Marekani. ambapo tarehe iyo imepangwa kutokana na jezi aliokua anaivaa ya namba 24.

SIKU 7 ZA MAKUBWA TANZANIA: WATU 54 WAFARIKI, MAREKANI YATOA MSIMAMO “MEJA KUNTA”

Soma na hizi

Tupia Comments