Top Stories

Mwili wa Mama yake Kabendera wawasili Bukoba (+picha)

on

Mwili wa Mama mzazi wa Erick Kabendera umewasili leo December 4, 2019 katika uwanja wa ndege Bukoba na umehifadhiwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa-Bukoba na unatarajia kuzikwa siku ya Jumatatu eneo la Katoma liliopo Wilaya ya Bukoba Mkoani Kagera.

“SIMBA ISIPOSHINDA NYUMBA YANGU IUZWE, YANGA NI KAMA KUFYEKA UYOGA” SHABIKI

“YANGA TUNAFANYA MAAJABU, MPIRA WA UCHAWI NA KUBEBANA HAUPO” SHABIKI

Soma na hizi

Tupia Comments