Ad

Top Stories

Mwinyi aondoka nchini kaenda kumuwakilisha Rais Samia SADC (+picha)

on

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi  ameondoka Zanzibar kuelekea Nchini Msumbiji kumuwakilisha Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi za SADC unaofanyika Jijini Maputo Msumbiji

MAJONZI: RAIS SAMIA, MWINYI, MABEYO KWENYE MAADHIMISHO YA KARUME DAY

Soma na hizi

Tupia Comments