Mix

VIDEO: ‘Mnaogopa nini kumfuata Rais?’ -Waziri Mwijage

on

Waziri wa viwanda, biasjhara na uwekezaji Charles Mwijage alisimama Bungeni Dodoma kulieleza bunge kuhusu baadhi ya wawekezaji wanaotaka kuwekeza nchini Tanzania na wanakutana na vikwazo wanatakiwa kumuona Rais Magufuli moja kwa moja ili kuwasaidia kwakuwa alishaahidi kulisimaamia hilo hivyo wawekezaji hao hawatakiwi kuogopa kumuona Rais.

LIVE: Bungeni Kipindi cha maswali na majibu leo May 18 

Soma na hizi

Tupia Comments