Top Stories

Waziri Mkuu awapa maagizo TAKUKURU “fuatilia kwa kina watumishi 48” (+video)

on

Waziri Mkuu Majaliwa ametoa agizo kwa Kamanda wa TAKUKURU Mkoani Singida,Adili Elinipenda afanye uchunguzi kufuatia Watumishi 48 kujihusisha na upotevu wa fedha kwa njia za udanganyifu na pia ameagiza Kaimu Mweka Hazina wa Wilaya akae pembeni hadi uchunguzi wa TAKUKURU ukamilike.

“MIFUPA YANGU IMEOZA, MIAKA 10 SITEMBEI, NIMEENDA KWA WAGANGA 7 SIJAPONA”

Soma na hizi

Tupia Comments