AyoTV

Maneno 25 ya kauli ya Simba kuhusu kesi ya Mwinyi Kazimoto kumpiga Mwandishi wa habari

on

February 10 stori za kiungo wa Simba Mwinyi Kazimoto kutuhumiwa kumpiga mwandishi wa habari wa gazeti la MwanaSpoti Mwanahiba Richard zilichukua nafasi ambapo aliripotiwa kushitakiwa na mwandishi huyo katika kituo kikuu cha polisi Shinyanga na kufunguliwa kesi yenye RB namba SHY/RB/895/2016.

millardayo.com na AyoTV zimempata mwenye mamlaka ya kuzungumzia habari zote za Simba ambaye ni Haji Manara aliyeanza kwa kusema >>>Polisi wameshatoa taarifa, wamepeleka jambo hili kwa Mwanasheria wa serikali kusubiria mapendekezo baada ya RPC kusema kwamba Mashahidi wa Mlalamikaji wameshindwa kuthibitisha kwamba Mwandishi

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments