Mix

VIDEO: Mwanamke amwaga machozi mbele ya Rais JPM, Mwanza…kisa???

on

Rais Magufuli yupo  Mwanza kwa ziara ya kikazi ambapo akiwa kwenye uzinduzi wa mradi wa maji safi na usafi wa Mazingira Nyamazungo katika Wilaya ya Sengerema, Mwanza, alijitokeza mwanamke mmoja ambaye alilia na kumuomba msaada Rais amsaidie kupata haki yake baada ya nyumba zake mbili kubomolewa.

Bonyeza Play nimekuwekea Video hapa chini ili kuitazama!!!

VIDEO: “Kuna wanaume hawataki wake zao wafanye kazi” – Dr. Tulia Ackson

Soma na hizi

Tupia Comments