AyoTV

Serebuka ya Mwasiti umeiona? picha za kina Godzilla, B12, Amini na Barnaba ndani @MwasitiJ

on

Screen Shot 2014-05-20 at 1.25.46 AMNi wimbo ambao ulisogea na kuingia mpaka kwenye kumi bora kati ya zote 20 za Clouds FM Top 20 na kudumu kwenye eneo la kumi bora kwa wiki zaidi ya nne.

Sasa hivi sio tu utabaki kuusikia redioni bali hata kwenye TV yako utauona manake video yenyewe ndio hii imeshafanyika, enjoy kuangalia kisha uache na maoni yako hapo Mwasiti atapita hapa saa kumi na mbili jioni May 20 2014

Kama unataka stori kama hizi zisikupite ungana na mimi kwenye twitter kwa kubonyeza HAPA, pia FACEBOOK & INSTA ili niwe nakutumia kila stori inayonifikia.

Tupia Comments