Premier Bet
TMDA Ad

Top Stories

Kesi ya Viongozi 9 CHADEMA imefika Mahakama Kuu, Mbowe amezungumza

on

Leo July 13,2018 tunayo story kutokea Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na wenzake 8 ambapo wamefika Mahakama Kuu ya Tanzania kusikiliza mwenendo wa pingamizi lao kuhusu kesi yao iliyopo Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.

Katika maombi hayo Mbowe na wenzake wanaiomba Mahakama Kuu isitishe na kuchunguza kumbukumbu za mwenendo wa kesi namba 112 iliyopo Kisutu ili kujiridhisha na usahihi na uhalali wa amri zilizotolewa.

Mwalimu aacha kufundisha na kuanza kuuza Maji mtaani, aonesha vyeti vyake,

Soma na hizi

Tupia Comments