Top Stories

Jambazi aita Shemejiii kwenye mapambano ya risasi na Polisi Mwanza. (+video)

on

Polisi wamemdaka Jambazi akawapa taarifa za wenzie, Polisi wakamchukua mpaka kwenye eneo la tukio lakini kumbe Jambazi huyu alitaka kuwashtua wenzake wawamalize Polisi kwa risasi, ikawaje? bonyeza play hapa chini kutazama

.

Soma na hizi

Tupia Comments