AyoTV

Tazama video ya Mtanzania Mayunga akiwa nyumbani kwa Akon Marekani.

on

Mshindi wa shindano la Airtel Trace Music Stars Africa, mtanzania Nalimi Mayunga aliwasili nchini Marekani toka November 17 2015 kwa ajili ya kufanya kolabo na mwimbaji Akon, video ikimuonyesha akiwa na Akon nyumbani kwake huko Los Angeles ndio hii hapa chini.

Mayunga atapita hapa pia kuona mashabiki wake wanasema nini, una chochote cha kumwambia? muachia comment yako hapa chini.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE kwa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FBYOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments