AyoTV

VIDEO: Mwenyekiti alivyoibuka mkutanoni DarMPYA kujibu tuhuma za kumtaka kimapenzi mwanamke

on

Siku ya tisa ya ziara ya DarMPYA kwenye mkutano Tandale mama mmoja alitoa tuhuma kwa Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda dhidi ya mwenyekiti wa Mivinjeni, Barua Mwakilanga akidai kuwa mwenyekiti huyo ametaka kumuondoa kwenye eneo lake la biashara na kutaka kujenga kituo cha polisi.

Baada ya kuwa na mvutano huo, mama huyo amedai kuwa Mwenyekiti huyo alimtaka kimapenzi kwa kumwambia waonane nje ya ofisi wikiendi. Mwenyekiti huyo alizisikia tuhuma hizo kupitia Clouds TV akakimbilia mkutanoni kujibu tuhuma. Unaweza kuangalia video hii hapa chini.

Uliikosa huu mpango wa Makonda baada ya kutembelea uwanja wa fisi Tandale? unaweza kuangalia video hii hap chini

VIDEO: Alichokiongea RC Makonda baada ya kutembelea MUHAS Kampasi ya Mloganzila, tazama kwa kubonyeza play hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments