Top Stories

Rais Uhuru Kenyatta azungumzia mechi ya Stars na Kenya (+video)

on

“Juzi tumechapana kule Cairo kila mtu ma timu yake huku Harambee Stars, huku Taifa Stars na sidhani kama kuna mtu alilala usiku ule lakini hiyo ndiyo hali ya michezo ilivyo,” Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta akizungumza na Wananchi wa Chato

UHURU KENYATTA AZUNGUMZIA MECHI YA STARS NA KENYA

Soma na hizi

Tupia Comments