Top Stories

DC asimulia kwa uchungu “Walitaka kumuua Injinia wakamfukia chini, walimzimia Oxygen” (+video)

on

Naibu Waziri wa Maji Jumaa Aweso ameagiza kufanyika malipo kwa wafanyakazi wanaodai fedha katika mradi wa maji ya Ziwa Victoria unaotekelewza katika Mkoa wa Tabora ambapo pia ameamuru Msimamizi Mkuu wa Mradi kutoka Wizarani kufika katika Wilaya ya Uyui kutatua migogoro inayoendelea kati ya Mamlaka inayosimamia na Wilaya.

DIWANI WA CHADEMA “MAGUFULI KUSUDI LA MUNGU, MHESHIMU KAMA MUMEO”

Soma na hizi

Tupia Comments