Top Stories

Mabishano ya Kisheria kesi ya mauaji ya Mwanafunzi Moshi, Jaji “Shahidi ni alikuwa muongo” (+video)

on

Mahakama Kuu Kanda ya Moshi imetupilia mbali mapingamizi yaliyoletwa na upande wa utetezi kwenye kesi ya mauaji ya Mwanafunzi wa Shule ya Scholastica ya kupinga ungamo la mshtakiwa wa kwanza nakusema pingamizi hilo halikuwa na msingi wowote na kwamba Shahidi alisema uongo.

ALIEMTEKA MTOTO NA KUMNYONGA MBEYA AMEKAMATWA, KAMANDA “NI MBAKAJI AMETOKA GEREZANI”

 

Soma na hizi

Tupia Comments