Star kutoka bongo flevani Mayunga ametangaza lebel yake mpya baada ya kutoka chini ya usimamizi wa lebel ya Universal Rec ya nchini Marekani, amekutana na Ayo TV na millardayo.com na kueleze mkataba aliosaini pamoja na list ya wasanii wanao milikiwa na Lebel yake mpya.
Pia Mayunga aliyazungumza haya >>>> “Niko chini ya Trace mara ya kwanza nilikua Universal lakini kwasasa nimetoka niko Trace“
ULIKOSA KUIONA VIDEO YA MBUNGE PROFESSOR JAY KUHUSU SINGLE YAKE MPYA? ICHEKI VIDEO NIMEKUEKEA HAPA CHINI