Video Mpya

VideoMPYA: Wimbo mpya wa Nyoshi El Sadat karibu ku-enjoy yupo na Bogoss Musica

on

Leo August 16, 2019 Mkongwe wa muziki wa dansi Bongo na Kiongozi wa Bogoss Musica Nyoshi El Sadat akiwa na vijana wake ametuletea burudani mpya wimbo unaitwa ‘Kuita’ na good news unaupata kwenye Youtube ya ‘Millaard Ayo’ na ya Bogoss Musica, bonyeza PLAY hapa chini kuutazama.

EXCLUSIVE: Nyoshi kafunguka kutumia mkorogo, ametaja mastaa wanaotumia

Soma na hizi

Tupia Comments