AyoTV

VIDEO: Mayunga ameeleza alivyopewa wimbo siku moja kabla ya kurekodi na Akon

on

Mtu wangu ni kawaida yangu kila siku kukusogezea stori zote ambazo zinachukua headlines na leo october 24 2016 nimekusogezea hii ya Hit Maker wa mdundo Please Don’t go Away Mayunga, ameelezea alivyokwenda Marekani kurekodi na Mkali Akon, Mayunga ameweka wazi siku aliyopewa mdundo wa Please dont go Away

Unajua mimi nilivyofika Marekani nilichokuwa nawaza ni kupewa huu wimbo nianze kushika na kuufanyia mazoezi mapema lakini kila nikiwauliza kuhusu wimbo wananiambia tulia usiwe na haraka, mimi nimepewa wimbo na siku moja kabla ya kurekodi na Akon na nilifanya vizuri haikuwa tabu kama nilivyofikiria‘>>>Mayunga

ULIMISS HIZI SABABU ZA MTU CHEE KUTOZIACHIA PROJECT ZAO WALIZOFANYA NA YOUNG DEE ITAZAEE HII VIDEO HAPA CHINI…

Soma na hizi

Tupia Comments