Habari za Mastaa

Young Killer katoa single mpya inaitwa ‘my power’ isikilize hapa

By

on

killerHuu ni wimbo mpya wa Young Killer ambao ameutoa leo rasmi leo March 20 unaitwa My Power ikiwa ni single yake ya nne baada ya Dear Gambe, Jana na leo, Mrs.Super Star ambapo zote zimefanywa Classic Sound chini ya Producer Mona Gangstar.

Ukitaka vitu kama hivi visikupite, jiunge na familia ya millardayo.com kupitia facebook twitter na instagram kwa jina hilohilo la @millardayo ambako nitakua nakudondoshea kila kinachonifikia iwe usiku au mchana.

Bonyeza play kusikiliza.

Tupia Comments