Top Stories

Rukia aliemuua Kaka yake ahukumiwa miaka mitatu jela

on

Mahakama Kuu ya Tanzania imemuhukumu kifungo cha miaka mitatu jela Rukia Ally baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kumuua bila ya kukusudia Kaka yake Said Ally.

Hukumu hiyo imetolewa na Msajili wa Mahakama, Pamela Mazengo baada mshtakiwa kukiri kosa la kumuua Kaka yake Said.

Rukia anadaiwa Januari 23, 2015 alimuuaa bila ya kukusudia Kaka yake Said akiwa nyumbani kwao eneo la Mivumoni Madale Wilayani Kinondoni.

MJUKUU WA NYERERE “SIIONI SURA YA BABU YANGU KWENYE ILE SANAMU”

Soma na hizi

Tupia Comments