Baadhi ya Wananchi katika eneo la Kikavuchini ulipofanyika mkutano wa Mbunge wa Jimbo la Hai ,Freeman Mbowe wamesema kundi la vijana lililofanya vurugu katika mkutano huo si wakazi wa eneo hilo.
Mzee amvaa Kamanda wa Polisi Hai kisa Mbowe, “amewalinda waliomvamia Mbunge” (+video)

Leave a comment
Leave a comment