Mzee Joseph Gendamwene anaekadiriwa kuwa na umri wa miaka 80 mkazi wa kijiji cha Madobole kata ya Luponde wilayani Njombe, amedai kucheleweshwa kufa kisa kuchelewa kumalizika kwa mgogoro wa ardhi yenye ukubwa wa ekari 1026 kati ya Wakazi wa kijiji hicho na Shirika la Watawa la Imiliwaha.
Stori kamili unaweza ukabonyeza play kufahamu zaidi.