Top Stories

Mzee Makamba, Kinana na Membe waitwa kikaangoni CCM

on

Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM imeadhimia kwa kauli moja kuwaita Abdulrahman Kinana, Mzee Yusuf Makamba na, Benard Membe kwenye Kamati ya Usalama na Maadili ya Taifa ili wajibu tuhuma za kimaadili zinazowakabili.

 

KUFURU MJENGO WA KIFAHARI WA BILIONI 25 UNAOMILIKIWA NA BARACK OBAMA

Soma na hizi

Tupia Comments