Michezo

Mzee mpili ambamba Ibrahim Ajib kwa ENG.Hersi ‘anaongea kingereza na kiarabu’

on

AyoTV ilifunga safari kutoka Dar es Salaam hadi Rufiji Pwani katika kijiji cha Ngomboloni ambapo ndio yalipo makazi ya shabiki na mwanachama mwandamizi wa Yanga SC Mzee Haji Omary Mpili kubwa kutaka kujua historia yake ya maisha hadi kujiunga na Yanga SC.

Sasa hapa akifunguka kuhusu kumbamba Ibrahim Ajib kwa ENG.Hersi bonyeza play ufahamu alichozungumza Mzee Mpili.

Tupia Comments