Michezo

Mzee Mpili azikana picha zinazotrend ‘Kijiweni na Nazi & akipanda Treni’

on

Miongoni mwa stori zinazochukulia vichwa vya habari hususani mitandaoni ni kuhusu  Mzee Mpili ambae ni shabiki wa Yanga aliejibebea umaarufu kutokana na ujasiri wa maneno yake.

Mzee huyo alipoulizwa kuhusu picha zinazosambaa mitandaoni ikimuonesha moja akiwa amekaa na Nazi huku nyingine akipanda Treni alizikana na kusema si za kweli bali watu wamezitengeneza.

Zile Picha zinaonyesha nimekaa na nazi na ile inaonyesha napanda treni sio za kweli zimetengenezwa tu . Mimi sifanyi chochote ila nina watu wangu ambao ni kama Askari wangu ambao ndio wanafanya kazi “ – Mzee Mpili

MZEE MPILI: SITEGEMEI YANGA, TUKUTANE KIGOMA, KUMUACHIA KOMBE LA FA NGUMU SANA

 

 

Tupia Comments