Top Stories

Mzee wa miaka 80 afia hotelini “alikuwa na mwanamke chumbani” (+video)

on

David Makerege (80) Mkazi wa Goba Dar es salaam amefariki Dunia akiwa kwenye Hotel ya Mbezi Garden (chumba No.22), January 16,2021, Polisi Kinondoni wamethibitisha.

“Kwenye chumba hicho tulimkuta pia Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Neema Kibaya (33) ambaye ameeleza kuwa Marehemu alikuwa ni Mpenzi wake”– POLISI

“Uchunguzi wa awali umeonesha mwili hauna jeraha lolote, baadaye mwili ulipelekwa Hospitali ya Mwananyamala kwa ajili ya uchunguzi zaidi na hifadhi” -POLISI

Soma na hizi

Tupia Comments