Mwimbaji wa Taarab, Mzee Yusuph ambaye siku kadhaa zilizopita aliwahi ku share na sisi ndoto zake za 2015 kuwa anatarajia kugombea ubunge kupitia chama cha Mapinduzi visiwani Zanzibar.
Leo July 16 kupitia kwenye @instagram yake amepost picha na kuwataarifu mashabiki wake kuwa tayari ameshachukua fomu ya kugombea nafasi ya Ubunge kupitia chama tawala cha Mapinduzi katika kijiji cha Fuoni Zanzibar.
millardayo.com iliwahi kupiga stori na Mzee Yusuph kuhusiana na ishu ya Ubunge 2015