Good morning kutoka Dar es salaam, yafuatayo ni Magazeti ya Tanzania leo July 16 2018 na habari zake kubwa kwenye kurasa za mwanzo na kurasa za mwisho..
LIVE MAGAZETI: Siku 8 za Obama Serengeti, Lissu awapa mbinu mpya wapinzani