Mwimbaji Ommy Dimpoz amerudi nyumbani baada ya kupatiwa matibabu nje ya nchi kwa muda na alipo wasili tu AyoTV na millardayo.com zilimpata na kufanya mazungumzo naye.
BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA MWANZO MWISHO OMMY DIMPOZ ALIVYOWASILI NA KUZUNGUMZA KUHUSU AFYA YAKE.
VIDEO: MAHABA KAMA YOTE, DOGO JANJA AKIWA STAGE SHEMEJI KASHINDWA KUVUMILIA